Breaking News

MSIMU MPYA LIGI KUU NCHINI ENGLAND WALIOSAJILIWA NA WALIOACHWA ORODHA HII HAPA


MSIMU Mpya wa LIGI KUU ENGLAND, wa 2017/18 unaanza Agosti 12 ukitanguliwa na ile Mechi ya Kufungua Pazia Msimu kugombea Ngao ya Jamii kati ya Mabingwa Chelsea na waliobeba FA CUP, Arsenal, itakayochezwa Agosti 4 Uwanjani Wembley Jijini London.
Tayari Klabu 20 za EPL zipo kwenye harakati za kujenge Vikosi vyao na baadhi vishachukua Wachezaji Wapya na pia kutangaza wale iliowaacha rasmi.
FAHAMU: Dirisha la Uhamisho litafunguliwa rasmi Julai 1 na Kufungwa Alhamisi Agosti 31 Saa 7 Usiku, Saa za Bongo.
HADI SASA HAYA NDIO YAMEJIRI KLABU KWA KLABU:
>>**Listi hii itakuwa ikichapishwa upya kadri uhamisho mpya unapokamilika/kuthibitika [Si Uvumi!].

ARSENAL
NDANI
Sead Kolasinac - Schalke, Bure
NJE
-(hakuna)

BOURNEMOUTH
NDANI
Asmir Begovic - Chelsea, Ada Haikutajwa
NJE
-(hakuna)

BRIGHTON
NDANI
Pascal Gross - Ingolstadt, Ada Haikutajwa
Josh Kerr - Celtic, Ada Haikutajwa
NJE
-(hakuna)

BURNLEY
NDANI
-(hakuna)
NJE
Michael Kightly - Ameachwa
Joey Barton - Ameachwa
George Green - Ameachwa
R J Pingling - Ameachwa
Christian Hill - Ameachwa
Taofiq Olmowewe - Ameachwa

CHELSEA
NDANI
-(hakuna)

NJE
Juan Cuadrado - Juventus, £17.3m
Christian Atsu - Newcastle, £6.2m
Asmir Begovic - Bournemouth, Ada Haikutajwa
Dominic Solanke - Liverpool, Ada imeamuliwa na Jopo [Mchezaji chipukizi]

CRYSTAL PALACE
NDANI
-(hakuna)
NJE
-(hakuna)

EVERTON
NDANI
-(hakuna)
NJE
-(hakuna)

HUDDERSFIELD
NDANI
-(hakuna)
NJE
-(hakuna)

LEICESTER CITY
NDANI
-(hakuna)
NJE
-(hakuna)

LIVERPOOL
NDANI
Dominic Solanke - Chelsea, Ada imeamuliwa na Jopo [Mchezaji chipukizi]
NJE
-(hakuna)

MANCHESTER CITY
NDANI
Bernardo Silva - Monaco, £43m
Ederson - Benfica, Ada Haikutajwa
NJE
Pablo Zabaleta - West Ham, Bure
Enes Unal - Villarreal, £12m
Gael Clichy - Ameachwa
Jesus Navas - Ameachwa
Willy Cabellero - Ameachwa
Bacary Sagna - Ameachwa

MANCHESTER UNITED
NDANI
-(hakuna)
NJE
-(hakuna)

NEWCASTLE
NDANI
Christian Atsu - Chelsea, £6.2m
NJE
-(hakuna)

SOUTHAMPTON
NDANI
-(hakuna)
NJE
Cuco Martina - Ameachwa
Lloyd Isgrove - Ameachwa
Harley Willard - Ameachwa
Martin Caceres - Ameachwa

STOKE CITY
NDANI
Darren Fletcher - West Brom, Bure
NJE
Shay Given - Ameachwa
Daniel Bachmann - Ameachwa
Liam Edwards - Ameachwa
Harry Isted - Ameachwa
Joel Taylor - Ameachwa
George Waring - Ameachwa

SWANSEA CITY
NDANI
-(hakuna)
NJE
Gerhard Tremmel - Ameachwa
Marvin Emnes - Ameachwa
Liam Shephard - Ameachwa
Josh Vickers - Ameachwa
Owain Jones - Ameachwa
Tom Dyson - Ameachwa
Tom Holland - Ameachwa
Alex Samuel - Stevenage, Ada Haikutajwa

TOTTENHAM HOTSPUR
NDANI
-(hakuna)
NJE
-(hakuna)

WATFORD
NDANI
-(hakuna)
NJE
-(hakuna)

WEST BROMWICH ALBION
NDANI
-(hakuna)
NJE
Darren Fletcher - Stoke, Bure

WEST HAM UNITED
NDANI
Pablo Zabaleta - Manchester City, Bure
NJE
Alvaro Arbeloa - Ameachwa
Sam Howes - Ameachwa
Sam Ford - Ameachwa
Kyle Knoyle - Ameachwa
Sam Westley - Ameachwa
Y

No comments