KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MBAO FC HIKI HAPA
JAMHURI. leo ndo ile fainali ya fa cup Ni mtanange mkali sana jumamosi ya leo kati ya simba sc dhidi ya mbao fc.Simba inatakiwa kushinda mechi ya leo ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya Afrika, mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Majira ya jioni katika uwanja wa jamhuri ulioko mkoani dodoma
kikosi cha Simba SC
Gk-Daniel Agyei-1
2-Janvier Besala Bokungu-2
3-Mohamed Hussein-15
4- James Kotei-3
5-Juuko Murshid-6
6-Jonas Mkude-20
7-Shiza Kichuya-25
8-Mzamiru Yassin-19
9-Laudid Mavugo-11
10-Said Hamis Ndemla-13
11-Juma Liuzio-10
Subs
GK- Dennis Richard-
2-Vincent Costa-45
3-Abdi Banda-24
4-Mwinyi Kazimoto-8
5- Ibrahim Ajibu-23
6-Moses Kitandu-35
No comments