Breaking News

LIGI YA UINGEREZA KUTIMUA VUMBI LEO, KUBWA ZAIDI NI MCHEZO BAINA YA TIMU ZA JIJI LA LONDON UTAKAOWAKUTANISHA VINARA CHELSEA NA ARSENAL

LIGI KUU UINGEREZA KUENDELEA LEO KUBWA ZAIDI NI MTANANGE MKUBWA KATIKA JIJI LA LONDON VINARA CHELSEA KUIKARIBISHA ARSENAL
****-*----***************
Epl kuendelea kutimua vumbi leo kubwa zaidi ni mtanange kati ya vinara wa ligi chelsea kuikaribisha arsenal katika uwanja wa darajani .
   Huku chelsea ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa raundi ya kwanza pale emirates ,mchezo huu utachezwa majira ya saa15:30.huku mingine kutarajiwa kuanza saa kumi na mbili jion kwa saa za hapa nyumbani
Hii hapa Ratiba kamili ya mechi za leo kwa saa za hapa nyumbani

● Chelsea vs Arsenal (Saa tisa na nusu)

■ {Saa 12 kamili Jioni}
Crystal Palace vs Sunderland(18:00)

•Everton vs Bournmeouth(18:00)

•Hull City vs Liverpool(18:00)

•Southampton vs West Ham(18:00)

•Watford vs Burnley(18:00)

•West Brom vs Stoke City(18:00)

•Tottenham vs Middlesbrough (Saa 2 na nusu usiku)

No comments