TETESI MPYA TOKA BARANI ULAYA
Klabu ya Manchester United watakabiliwa na ushindani kutoka Arsenal kama wanataka kumsajili beki wa Inter Milan Jeison Murillo mwenye umri wa miaka 24.Manchester na Arsenal wote wanahitaji huduma ya mchezaji huyo mwisho wa msimu huu. (Manchester Evening News)
Klabu ya Bayern Munich inajipanga kufanya usajili wa paundi £ 30m kwa kumsajili mshambuliaji wa Celtic Moussa Dembele mwenye miaka 20, huku na Chelsea pia kufuatilia maendeleo yake.Dembele amekuwa na kiwango kizuri msimu huu na kuweza kuvivutia vilabu vikubwa ulaya na kuhitaji huduma zake. (Mirror)
Liverpool imeanza mazungumzo na mshindi wa Ujerumani wa Kombe la Dunia ambae alifunga goli la ushindi Mario Gotze, 24, juu ya uhamisho hapo dirisha kubwa la usajili litakapofungulia , kutoka Borussia Dortmund. (Mirror)
Juventus kocha mkuuju Massimiliano Allegri amejiweka kando kutokana na uvumi unaoendelea juu ya yeye kuchukua nafasi ya Arsene Wenger katika klabu ya Arsenal. (London Evening Standard)
Uingereza kiungo wa Liverpool Adam Lallana, 28, inaripotiwa amekubali kulipwa £ 150,000 kwa wiki baada ya kukubaliana mpya mkataba wa kiasi £ 31.2m kwa mwaka na kukabiliana na klabu hiyo. (Sun)
Ingia hapa kwa habari zaidi
Www.mlolotznews.blogspot.com
No comments