Breaking News

Hii hapa ratiba ya ligi ya mabingwa afrika hatua ya 32

Mabingwa wa Tanzania bara na wawakilishi wa nchi katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika Yanga wameungana na timu zingine 32 kucheza hatua inayofuata ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
Washindi wa mechi hizo za mwisho katika awamu hii ya mtoano wataingia katika hatua ya makundi huku timu zingine zilizobaki zikishushwa kucheza kombe la Shirikisho barani Afrika.
 <><><><><><><><><><><><>
RATIBA HII HAPA TIMU ZOTE 32

Young Africans(TAN) v ZANACO(zam)

USM Alger (ALG) v Kadiogo (Bar

Rivers Utd (NGR) v Al Merrikh (SUD)

Etoile Sahel (TUN) v AS Tanda (CIV)

Esperance (TUN) v Horoya (GUI)

Al Ahly Tripoli (LBA) v FUS Rabat (MAR)

Mamelodi Sundowns (RSA, bingwa Mtetezi) v KCCA (UGA)

Wydad Casablanca (MAR) v Mounana (GAB)

Ferroviario Beira (MOZ) v Stade Malien (MLI)

Zamalek (EGY) v Enugu Rangers (NGR)

Ports Authority (GAM) v V Club (COD)

Coton Sport (CMR) v CNaPS Sport (MAD)

Al Ahly (EGY) v Wits (RSA)
 TP Mazembe (COD) v CAPS Utd (ZIM)

AC Leopards (CGO) v St George (ETH)

Al Hilal (SUD) v Port Louis (MRI)

No comments