Mchezaji wa azam fc yahaya mohamedi amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba baada ya kutofanya vizuri msimu huu.Azam FC imefikia makubaliano hayo baada ya mchezaji huyo kuwa na kiwango kisichoridhisha uongozi huo ukafikia mwafaka wa kuvunja mkataba na mchezaji huyo raia wa Ghana kwa makubaliano maalum baada ya kushindwa kufanya vizuri
No comments