DROO YA UEFA CHAMPION LIGI NA EUROPA LIGI RATIBA HII HAPA
hatimaye droo ya uefa champion ligi na europa ligi imefanyika leo majira ya saa saba mchana ijumaa ya leo huku real madrid kukutana na atletico madridi hii ni bonge la mechi, na hii ni madrid dabi na juventus kukutana na monaco .Huku europa ligi celta vigo kukutana na manchester united,Ajax kukutana na lyon
ratiba ya champion ligi hii hapa
droo ya europa ligi hii hapa




No comments